Msanii kutoka kundi la WEUSI amesanuka na kusema kwa sasa nanategemea kufanya vitu
fulani amazing katika tasnia hii ya muziki wa bongo kutokana na kuwa anamalengo mengi yakufika mbali katika muziki wake na ukizingatia kwa hapa bongo wanajulikana sasa ni wakati wa kufika katika upande mwingine na bkupeperusha bendera ya tanzania katika upande wa burudani alisema joh makini katika interview special kwenye red Carpet za tuzo za watu.

0 comments:
Post a Comment