Meneja wa wasanii bongo Said Fela amedadavua sifa za meneja mzuri kaatika sanaa ya muziki.Msanii anaitaji meneja ili kazi zake ziweze kufika panapo takiwa kwa wakati.Baadhi ya wasanii walio wahi kuongozwa na wanaoongozwa Sir Juma Nature,Kundi la TMK wanaume family,mkubwa na wanawe na Diamond Platnum.Wasanii waliopita mikononi mwake wamekua na mafanikio makubwa katika muziki.Amesema mameneja wengi bongo wanafeli sababu ya tamaa kutaka mafanikio ya haraka.Wengi bongo ni wafadhili na si mameneja kama wanavyo jiita.Upande wa wasaniii wakike ni wachache inakua ngumu kufanya nao kazi.

0 comments:
Post a Comment