,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, May 9, 2015

Msanii wa ‘ long time ’ kwenye anga la filamu Bongo , Vincent Kigosi ‘ Ray ’ amefungukia sababu za kutooa licha ya kwamba umri umekwenda .


Akizungumza na Ijumaa katika mahojiano maalum , Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa stress kama zinazowapata baadhi ya watu.Alisema , kwa kuwa suala la kuoa ni jambo nyeti , halihitaji kukurupuka na hicho ndicho kimemfanya mpaka leo asiingie kwenye maisha ya ndoa .
 

“Unajua hili suala la ndoa ni sensitive ‘ nyeti ’ sana , halihitaji kukurupuka, linakutaka ukiingia kwenye uhusiano umchunguze vizuri huyo uliyempata ili kujiaminisha kwamba , hatakusumbua .“Hilo ndilo linalonifanya niwe singo mpaka leo , najua wengi wananishangaa lakini kwa kifupi ugumu wa kumpata mweza sahihi ndiyo sababu ya kutooa mpaka leo , ” alisema Ray .
 

Alipoulizwa kwamba , ina maana kwa wapenzi wake waliopita wakiwemo Ruth Suka ‘ Mainda ’ , Blandina Chagula ‘ Johari na Hans Chuchu hakuna aliyeona anafaa kuwa mke, msanii huyo alicheka sana kisha akasema: “Wewee, acha mambo yako .

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi