Well, thank "Tuzo za Watu" for the best Show but I have a big problem kuamini kwamba1. Millardayo hakupata zawadi zote isipokuwa ya Blogu tu 2. Ali Kiba ameshinda Tuzo ya Mwanamuziki anayependwa against The King Of Pop in East Africa 3. Mzee Majuto kashindwa kupata hata zawadi moja.....nilichokiona ni Manouver and Manipulation by somebody very powerful behind the scene anayetaka ku create a balance katika Field ambayo ni unbalanced by Nature and TALENT in the end ni kuvuruga competititon ambayo tayari ipo na kuwakatisha tamaa
waliofanikiwa kwa VIPAJI VYAO...the Idea inatakuwa kuwa ni kupiganisha Vipaji uwanjani sio ku balance the Field from somebody's Office....mapokezi ya Diamond leo Mwanza na LONDON WIKI ILIYOPITA ni EVIDENCE ya kutosha kwamba HAKUTENDEWA HAKI NA TUZO ZA.LEO.....ninawaheshimu sana watayarishaji wa Show ya leo lakini NAOMBA KUKUBALI KUTOKUBALIANA NANYI na we remain kool SIAMINI
waliofanikiwa kwa VIPAJI VYAO...the Idea inatakuwa kuwa ni kupiganisha Vipaji uwanjani sio ku balance the Field from somebody's Office....mapokezi ya Diamond leo Mwanza na LONDON WIKI ILIYOPITA ni EVIDENCE ya kutosha kwamba HAKUTENDEWA HAKI NA TUZO ZA.LEO.....ninawaheshimu sana watayarishaji wa Show ya leo lakini NAOMBA KUKUBALI KUTOKUBALIANA NANYI na we remain kool SIAMINI
KWAMBA MATOKEO YA LEO YALIKUWA FAIR na nitashukuru sana kuona process iliyotumika kufikia matokeo ya leo!
...UPDATE: well nimesoma arguments nyingi against my prior post kuna wachache sana wanaojaribu ku make a sense lakini at the end of the heart of all the TRUTH STANDS alone kwamba kulikuwa na unfairness I mean eti KING MAJUTO ana mpinzani Tanzania? Please eti Millardayo ana mpinzani Tanzania? Diamond Platznumz ana mpinzani Tanzania? hahahahahahah that is a joke infact the biggest joke of my life...I mean wananchi wanajaa kwenye Show za Diamond kuliko za Wasanii wote Tanzania lakini hawakumpigia kura? hahahahha ninasema that is.the biggest joke of all the times Diamond ana followers wengi Instagram na FACEBOOK kuliko MTANZANIA YOYOTE ALIYEWAHI KUISHI.HAPA NCHINI lakini hawakumpigia kura? hahahahahha kuna mtu hukoooo anataka niamini that! hahahahah wanannchi wamekubali kununua meza kwa Shillingi Millioni Tatu kumuona Diamond lakini hawakumpigia kura? Ipi ni kazi ngumu kupiga kura kwenye simu au kulipia meza Shillingi Millioni Tatu?......I mean hata aliyetaja washindi alikuwa anatetemeka kutaja kushindwa kwa Diamond WHY? hahahahaha baada ya Category ya Diamond kupita ilikuwa ni rahisi kutabiri the rest of the TUZOS kila mtu alijua mapema kuwa Millard ameshinda blog WHY?....KIPAJI kinatakiwa kushindanishwa na KIPAJI sio otherwise....sina muda wa kujibu low arguments za Yanga na Simba eti mtumzima.na akili zako.unaweza kusimama na kusema Mwanamuziki anayependwa Tanzania sio Diamond eti kuna mwingine! hahahahahahahha namshukuru Mungu kwa kunijalia kwenda Shule niliyoyaona leo ni aibu tupu na ndio mwanzo wa kuua vipaji soon tutaanza tena kuwarudia kina Kandabongo Man ambaye huko kwao huwa.anapiga bure kwenye harusi...sio kosa la Diamond kwamba amewaacha wasanii wenzie maili 20 ni kosa la KIPAJI CHAKE kipaji hakitengenezwi na TUZO ila kukubalika na wnanchi ninasema DIAMOND NDIYE MWANAMUZIKI ANAYEKUBALIKA.KULIKO WOTE TANZANIA NI FACTS NA MIFANO IPO WAZI ni maoni yangu kama huyakubali andika FACTS sio ushabiki wa Yanga na Simba! - le Mutuz

i agree with you 100%.
ReplyDeleteLe Mutuz usishangae ndiyo media za bongo zilivyo, tunapenda sana magumashi. Si unaona hata muziki wetu wa asili (dansi) watu wanafanya propaganda ufe na kubatiza fleva eti ndiyo muziki wa Tanzania toka lini? Bongo kila kitu ni upuuzi tu.
ReplyDelete