,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, May 23, 2015

lemutuz_nation 'Well, huwa ninaongea na FACTS with EVIDENCE toka jana Usiku nimesema I smell fish kama nilivyo smell Fishy kwenye matokeo ya Miss Tanzania ya Mwaka jana kuna wajinga akili ndogo walioanza kunirushia matusi LE AKILI KUBWAZZZZ now ninasema jana HAKI HAIKUTENDEKA kuna wanaojaribu kuninyamazisha na matusi...great ninarudia tena sikuenda Shule kuwa mjinga so toka jana niliingia kwenye uchunguzi wa FACTS and EVIDENCE of WHO IS BEHIND LAST NIGHT MESS tayari nimeshaanza kupata theTRUTH....tena the TRUTH ni aliyevuruga jana yupo busy pia kuvuruga Matokeo yaKMTA....soon nitakuwa na "LE TAMKOZZZ
FOUR LIVE" and I mean it...stay tuned hahahaha U know makelele yangu toka jana yameleta kizungu zungu behind the scene wameshaanza kuvurugana na kunipigia niache hahahaha..now stay tuned NITAMTAJA ALIYEVURUGA SHOW YA JANA NA FACTS and EVIDENCE....na I HOPE NITASAIDIA KUTOVURUGWA KWA KTMA maana ni huyo huyo gademu mazafantazzz! Na the good thing watayarishaji hawakuhusika kabisa so stay tuned! - le Mutuz

1 comment:

  1. i agree with you 100%.na uwaanike hizi tabia walizonazo sio nzuri.i think diamond alipigiwa kura enough but ni njama za kijinga.hawa watu waandaaji wangekuwa wanafanya chini juu kuwapatanisha wasanii wazuri nyumbani muziki wetu ungefika mbali.mfano alikiba na diamond get together create something,but instead mnafanya makundi ya watu kusudi wawe na beef then muziki wa nyumbani utabaki kuwa wa chini.diamond anastaili pongezi nyingi bcause ameweza kuitangaza nchi yetu kwa muziki,na hata wasanii wengine wataweza kujulikana kutokea hapo.wanaposikiliza miziki yake wanakutana na mingine ya wasanii wa nyumbani.so tanzania stop this b.........shit.

    ReplyDelete

ufunguzi