Wengi
wanaomfahamu mwigizaji Kajala wanajua kwamba staa huyu aliwahi kuwa
kwenye mikono ya sheria mpaka Jela na alilipiwa shilingi Milioni 13 kama
dhamana March 25 2013 ili aponee kwenda jela, pesa ambazo zilitolewa na
mwigizaji Wema Sepetu ambaye alikua rafiki yake mkubwa.
Kipya
kwenye headlines ni kuhusu Kajala kutakiwa kuzirudisha zile milioni 13
na hii ni baada ya kuonekana kwenye White Party ya Diamond na Zari.
0 comments:
Post a Comment