,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, May 9, 2015


Naitwa Irene pankras uwoya...ni mtoto wakwanza katika familia ya mzeee uwoya yenye watoto 2 na mdogo Wangu wakuite aitwae babu!!!nimezaliwa dodoma hospital nimeishi dodoma nikasoma shule ya msimgi mlimwa lakwanza mpaka la tatu...wazaz Wangu wakaa Mishiwa dar kikaz mama yangu akiwa ofic ya waziri mkuu huku baba yangu akiwa pilot na pia ofc ya nishat na madin!nikaamia shule ya msingi
bunge na kumaliza la saba!nikaenda kidato cha kwanza st.thomas gongolamboto mpaka kidato cha pili badae nikaenda Uganda nikasoma mpaka kidato cha 3 nikarud bongo kuchukua pass mpya coz yakwanza ilikuwa imesha isha.....ilikuwa ijumaaa nikiwa nimeenda kwajili ya pass mpya nirud shule!!!ndipo nilikutana na kaka mmoja mrefu,mweusi akaniita malaika"nikashangaa mhh mbona sio jina langu ?akanisogelea a kanambia kwa lugha ya kingereza Naitwa Patrick ponce monzanga!nikawa na nashangaaa coz sikuwa namjua'nikamwambia naitwa irene akanambia naomba nikwite malaika coz ur sooo beautiful huku akinipa mkono...nilipo mpa mkono tuuu basiii kumbe nilikuwa nimejitengenezea bomu bila kujua.makubwahayablog....ITAENDELEAAAaaaaaaaaa 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi