,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, May 25, 2015

NCHEMBA
May 22 2015 kulikuwa na Headlines kubwa kuhusu ishu ya makada sita wa CCM kufunguliwa na Chama hicho baada ya kufungiwa kwa zaidi ya mwaka mmoja kutokana na ishu ya kuanza kampeni  za Urais mapema.
Leo kuna stori mpya kwenye siasa TZ.. Mwigulu Nchemba ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara katangaza kujivua cheo hicho na kuanza rasmi mchakato wa kugombea nafasi ya kuteuliwa kugombea Urais TZ kwa tiketi ya CCM.




0 comments:

Post a Comment

ufunguzi