,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, May 24, 2015

                          SABABU MAZINGIRA YA KIKAHABA ALIOKULIA.

Harmon Hailary ni muongozaji na mwandishi wa filamu nchini Ethiopia  amekulia mazingira ya ukahaba wadada,wamama na mabinti ikiwa shughuli inayowaingizia kipato mjini Addis Ababa.Ingawa akuweka wazi kama na yeye alishawahi kushiriki vitendo hivyo.
 Umri wake miaka 28 amesha tengeneza filamu tatu.inayo tamba kwa sasa ni Price of love ameigiza huyo mdada hapo juu muongozaji akiwa ni yeye Harmon.Ni story ya dereva wa tax aliye mpenda changudoa kijana huyo mama yake mzazi alikua changudoa inamkumbusha mbali na kumuumiza sana inambidi ambadilishe binti huyo.
Muda wote anatamani kusimulia mazingira hayo ya kikahaba Ethiopia umalaya umesambaa sana sababu ya umaskini watu wanaishi chini ya dola moja kwa siku.Lengo lake kuelimisha malaya wanaitaji kuwekwa karibu na upendo ili wajirekebishe.

Enzi za utoto muongozaji huyo akuona haya kuishi mazingira hayo ya kikahaba.Anakiri yupo tayari kufanya filamu nyingi kuhusu ukahaba sababu bado anamengi ya kuyasema.Filamu hiyo ya Price and Love imechaguliwa kushiriki tunzo kubwa za filamu Africa zijulikanazo African Top Film Awards zitakazo fanyika nchini Bukina faso kwenye Fespaco Festival.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi