Mwandishi
wetu MWIGIZAJI Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake
baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai
anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha.
Aunty Lulu alisema wanaume
wengi wamekuwa wakimiminika kutaka baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji
huyo analitumia umbo lake ndivyo sivyo.“Nawaomba wanaume waache kunifatafata jamani wananikosesha amani kwani mimi nimefundwa najua madhara ya hako kamchezo kabaya, siwezi kuthubutu hata mara moja,” alisema Aunty Lulu.
0 comments:
Post a Comment