,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, May 24, 2015

                          KISA KUVAA NGUO FAKE YENYE LOGO YA ROPER.

Roper Rope official designer wa wasanii wakubwa wa marekani kama Future,Meek Mill,French Montana na Ne-yo.Amemmind vibaya msanii Diamond Platinum kwa kwakuvaa nguo iliyobuniwa na yenye  bila kununua kwake.Mwanamitindo huyo amepost hana shida na Diamond Platinum kuvaa nguo fake kibaya msanii huyo kucopy logo ya mwanamitindo huyo.Ameenda mbali na kumwambia kamkosea heshima.Kisheria anapaswa kushtakiwa amesema kama  Diamond ni mwanamitindo abuni logo yake.Mwanamitindo huyo amesema yeye hawezi kuchapa na kuuza albam ya Diamond Platnum  iTune bila ruhusa yake.
                                                                      Roper Rope

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi