Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 26, 2015
Jino
kwa jino! Sexy lady anayefanya poa na ngoma yake ya Leo Leo, Jokate
Mwegelo ‘Kidoti’, amemlipua aliyewahi kuwa mwandani wake, Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’ ambaye hivi karibuni alimwita makombo baada ya
kusikia kwa sasa anatoka kimalovee na msanii Ali Kiba.
Nasibu
Abdul ‘Diamond Platnumz’ Akizungumza na gazeti namba moja la mastaa
Bongo, Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Jokate alisema alishangazwa
na maneno hayo ambayo hakustahili kuyatamka kwani kama ni ishu ya mtu
kula makombo mbona hata yeye ni makombo na bado anakula makombo?
0 comments:
Post a Comment