
Wakati wanawake wengi wanafanya upasuaji kuongeza ukubwa wa makalio yao, msanii wa rnb K. Michelle amesema ana mpango wa kupunguza makalio yake.
K Michelle aliwahi kukiri kuongeza makalio yake amemjibu shabiki twitter kuwa anapunguza makalio yake ili aweze kuigiza kwenye filamu mpya anayocheza.
“Good for you! I’m about to decrease mine for a movie,”


0 comments:
Post a Comment