,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, April 27, 2015


Kupitia ukurasa wake mtandaoni Wema Sepetu ambae hivi karibuni aliweka wazi tatizo lake la kutoweza kushika ujauzito, jana usiku ameibua tena hisia za mashabiki wake baada ya
kuweka picha akiwa na mtoto wakike,Sasha aliedai kuwa huyo ndiye kipenzi chake cha maisha na kusisitiza kuwa hiyo ndio sababu ya yeye kutaka mtoto wakiume kwani tayari anaye mtoto wa kike.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi