Ni
kama Vile Kujibu Mapigo..Mrembo Siwema ambaye alikuwa Mpenzi wa Nay wa
Mitego na kumzalia mtoto mmoja na kisha kupigana chini kwa tuhuma za
kumfumania laivu akiwa na Kiserengeti Boy ameanza kumuweka wazi katika
mitandao kijana ambae ni mpenzi wake kwa sasa..Inasemekana mapenzi na Kijana huyo hayakuanza jana wala leo ili yapo muda mrefu ila walikuw wakifanya kwa siri mpaka siku Nay wa mitego alipofumania mchezo na kuamua kuchukua mtoto wake na Kusema...
Kijana huyu ambae anaonekana ni mdogo watu wengi wa huko mwanza wamempa jina la kiserengeti boy..Kwa sasa anaonekana kila kona akiongozana na Siwema bila kificho kama zamani..

Siwema Akiwa na Serengeti Boy na Rafiki yao
0 comments:
Post a Comment