Madaktari, wanasiasa, wafanyabiashara
wamekuwa wakitoa misimamo yao lakini hawabughudhiwi iweje Gwajima tu?
Nitaendelea kuwapa vidonge vyenu kila mtakapopotoka, nafanya kazi ya
bwana,” alisema Gwajima
Kuhusu utajiri wake pia Gwajima amesema
anashangazwa na vyombo vya Serikali vinavyohoji utajiri alionao bila
kujua anaongoza idadi gani ya waumini. Alisema anaongoza kanisa lenye
waumini zaidi ya 70,000 ambao akiwaomba kila mmoja ampe Sh1,000 tu
atakuwa na Sh70 milioni, na kama wakiamua kutoa elfu 10, 000 basi
atakuwa na milioni 700.
.jpg)
0 comments:
Post a Comment