,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, April 14, 2015

HIZI NDIZO MALI ANAZOMILIKI ASKOFU GWAJIMA
(1) ANA SHILINGI BILLIONI 20 AMBAZO ZIPO KATIKA AKAUNTI YAKE BINAFSI

(2) ANAMILIKI HELKOPTA, HAMMER 1, RANGE ROVER 1, NISSAN MURANO 1, LAND ROVER 4 NA LAND CRUISER V8,
(3) ANAMILIKI NYUMBA NNE ZA GHOROFA MBEZI BEACH, NYUMBA HIZO ZINA THAMANI YA SHILINGI BILLIONI 11 NA MILLIONI 400, LAKINI PIA ANA NYUMBA NYINGINE KADHAA MAENEO MBALIMBALI NCHINI TANZANIA AMBAPO NYUMBA HIZO TATHIMINI YAKE BADO HAUJAKAMILIKA...
(4) LAKINI PIA KAGAWA GARI ZAIDI YA 40 KWA WACHUNGAJI WAKE SEHEMU MBALIMBALI NCHINI ZENYE THAMANI YA PESA KUANZIA SHILINGI MILIONI 10 MPAKA 20 MAGARI HAYO NI KWA AJILI YA SHUGHULI ZA UCHUNGAJI...GARI ZOTE KADI ZIMEANDIKWA JINA LA GWAJIMA KAMA MMILIKI
LAKINI ASKOFU GWAJIMA AMESEMA YEYE SIYO TAJIRI BALI MALI ZOTE AMBAZO ANAZO NI BARAKA KUTOKA KWA MUNGU, YEYE NI MASIKINI KAMA MASIKINI WENGINE WA TANZANIA...
NB: GWAJIMA TAYARI KUPITIA MAWAKILI WAKE WAMEPELEKA SHAURI MAHAKAMANI KUIOMBA MAHAKAMANI KUIZUIA POLISI KUENDELEA KUFANYA UCHUNGUZI WA MALI ZAKE
TAHARIFA BY NIU

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi