Posted by Williammalecela.com on Sunday, March 22, 2015
Zitto kabwe anaongea na waandishi wa habari hivi sasa katika ukumbi wa Serena hotel.punde tunakujuza alichosema baada ya kujiunga na chama cha ACT.Pia msani wa bongo fleva afande sele amejiunga na ACT tanzania muda mfupi uliopita
0 comments:
Post a Comment