,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, March 22, 2015


huwa kwenye mtandao huu hauna ubaguzi kwanza hatuna team huwa tunapenda kuwafkishia wadau umbea na udaku na habari mbalimbali bila ya kuangalia huyu ni nani? Okay nanukuu umbea huu kutoka kwa mdau na shabiki wa wema sepetu @wemaselfies Yani hata nijaribu.

..vip kuto kumpost bibi...lazma afanye kituko...hii kali ya mwaka..! Bibi yetu kenda saluni na LapTop....!! Sasa hio laptop ya nin hasa? Ao umetaka kuonesha watu kama una laptop......!! Sho ufu zako zinakufanya uonekane mshamba...!! Unawzaj kutumia laptop huku...waki kupaka mak up? Aniways Hongera...sanaa..naona.umepiga hatua moja mbele...siku hizi unakua unaendaa saluni...huko mwanzo...ungepiga ile miwanja yako...umoja alfa mwengine...omega...!! Chezea makavu yetu...wewee....!! Nakumbuka befor... ukiweka nywele.mpya basi uta spend miezi kama.mitatu,,.na hizo nywele.... ila siku hzii naona... unataka kuigaiga kwa WANJERA am soooleeee....! Wanjera ni BossBae wa Wiki mpya nywele mpya... Hukuweza kufanya hivyo...enzi za ivan... utawezaj kufanya hiv umefulia hadi ukachoma....!!! Kidhungu wachie...ma born town....banaa...na sio ww Welcm to the city!! Haya wadau huo mdio umbea unaoendelea mjini na majibizano ya maneno kutoka team hizo mbili team zari na team diamond the platnumz
CHANZO MAKUBWA HAYA

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi