Uki angalia Hiyo picha utagundua kuna Before na After Ile picha ya juu Diamond alishawai kupost kipindi chanyuma makubwahaya.com akiionyesha anajenga nyumba yake Na ya chini ndo ishakamilika sasa Kuna watu Humu kwenye mitandao ya kijamii wanamsujudu mtu yaan hata aongee Nini wenyewe
Wanamuamini Eti Oho Diamond Kapanga Sijui Kashuka Kimziki Sasa kama kapangaa ww inakuusu nini Haya sasa Na Hii ndio Nyumba ya 10 Sijui mtaongea nini Guyz acheni kusambaza maneno ya chuki Badilikeni Bhana Na mkumbuke kama ipo ipo tu Hongera Sana Kaka diamondplatnumz

0 comments:
Post a Comment