,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, March 12, 2015


Shilole na Nuhu Mziwanda
Story ya kwenye U Heard ya leo March 10, inahusu tetesi zilizoenea kuwa wa dada wa mjini akiwemo muigizaji, Jacqueline Wolper wamemchoka msanii Shilole kwa madai kuwa amekuwa akimpiga mpenzi wake Nuh Mziwandamara kwa mara na wanataka kumtafutia mpenzi mwingine ambae hatampiga, mpango uliopangwa siku ambayo Shilole alimpiga Nuh na wasanii waliokuwepo kuingilia.

Soudy Brown amemtafuta Shilole na kumpa taarifa hizo na kusema sio kweli ila watu wanazusha ili kuwagombanisha jambo ambalo hawatafanikiwa kwa kuwa anajiamini sana, kwa upande wa Nuh amesema kuwa ndio kwanza anasikia taarifa hizi ila mwanaume huwa hatafutiwi mwanamke na Shilole hampigi kama wanavyodai zaidi ya kuishi kwa raha.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi