Wakati
hit single ya Diamond Platnumz, Ntampata Wapi inatoka mwaka jana, watu
wengi waliamini kuwa wimbo huo amemwandikia ex wake, Wema Sepetu.
Tetesi hizo zilienea baada ya kubainika kuwa wawili hao wameachana tena. Hata hivyo Wema amedai kuwa si kweli.
“Leo nasema rasmi kuwa hii nyimbo hakuniandikia mimi,” Wema aliiambia Radio 5 ya jijini Arusha.
0 comments:
Post a Comment