Posted by Williammalecela.com on Monday, March 23, 2015
 |
"Mzee alipokutana na Wanavyuo Wa Dodoma Leo.
atika Hali ya
kushtukiza maandamano makubwa ya wanavyuo wote wa mkoa wa Dodoma
wanaandamana sasa kuelekea nyumbani mwa aliekuwa Waziri Mkuu mstaafu
Ndg. Edward Lowassa.
Hali ya mambo inaonyesha ni zaidi ya
wanavyuo 8000 Muda huu wakiwa katika misururu ya maandamano Area D na
kufunga barabara za Majirani zake bwana Edward Lowassa kama Mh. sumaye
na Samwel sita kuwafanya wachelewe Misa muda huu.
Aidha pia jeshi la polisi limeamua kuwapa ulinzi baada ya kuona wanaandamana kwenda kumuomba aokoe kuporomoka kwa soko la ajira"
|
0 comments:
Post a Comment