Ilikua ni time ya watu wa nguvu kukutana na kuenjoy weekend ambayo kumbukumbu yake imeandikwa na furaha na bata zote zilizotokea ndani ufukwe wa bahari ya hindiEscape 1 usiku wa March 15, 2015 huku wakipata burudani kutoka kwenye bendi ya muziki maarufu kama Skylight band.Hizi ni baadhi za watu mbalimbali walio enjoy good music pamoja na kupiga picha za kuimbuka siku hiyo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
0 comments:
Post a Comment