Nikutoka nchini uganda Msanii wa muziki Jose Chameleone amempoteza mdogo wake ambaye ni msanii anajulikana kwa jina la Emmanuel Mayanja (AK47)
ambaye alikutwa na umauti huo akiwa chooni baada ya kuteleza na kudondoka huko Kabalagala Kampala nchini Uganda.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.

0 comments:
Post a Comment