Posted by Williammalecela.com on Wednesday, March 11, 2015
Mkuu mpya wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Paul Makonda, atakuwa atafungua wazi ofisi yake kila IJUMAA kuanzia Tarehe 6/3/2015 kwa ajili ya kuwasikiliza Wananchi wote wenye matatizo ya ARDHI, kuanzia Saa Tatu Asubuhi mpaka Mwananchi wa mwisho atakaposikilizwa kwa siku hiyo. Nia ni kutatua tatizo hilo Sugu na kuhakikisha kila Mwananchi anayekuja kumuona anapata HAKI YA ARDHI YAKE KISHERIA. Pamoja naye watakuwepo 1. AFISA WA ARDHI WA WILAYA 2. AFISA MIPANGO MIJI WA WILAYA 3. MWANASHERIA WA WILAYA.
- WANANCHI WOTE WA WILAYA YA KINONDONI MLIO NA MATATIZO YA ARDHI KISHERIA MNAKARIBISHWA KWENDA KUMUONA MKUU HUYU MPYA WA WILAYA KILA IJUMAA KUANZIA SAA TATU ASUBUHI.
0 comments:
Post a Comment