Senior Marketing AccessBank Mr Muganyizi Bisheko akiwa na Naibu Gavana wa BOT Lila Mkila.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Jayax Development and Training, Jemima Njeri akiongea katika mkutano ulioandaliwa na benki Kuu kujadili na kutatua Migogoro ya kibenki jijini Dar es Salaam
Mameneja kutoka benki mbali mbali waliohudhuria semina hiyo, wa pili kutoka kushoto ni Senior Marketing AccessBank Mr Muganyizi Bisheko wakati wa mkutano ulioandaliwa na benki Kuu kujadili na kutatua Migogolo ya kibenki jijini Dar es Salaam
Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT, Lila Mkila (kulia) akisalimiana na Senior Marketing AccessBank Mr Muganyizi Bisheko wakati wa mkutano ulioandaliwa na benki Kuu kujadili na kutatua Migogolo ya kibenki jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment