,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, March 22, 2015

 Msanii wa bongo fleva Shetta wiki 3 zilizopita alionekana akiwa katika harakati za kusafiri na kwenda nchini South Afrika baada yakufika alisomeka akiwa na mtu mtu mzima Godfather ambaye ni director wa video nchini humo.


Na mara nyingi alikuwa akipost picha tofauti  na wasani wengine wa nje ya tanzania lakini mpaka kufikia sasa imejulikana  kuwa ni mkwaju mpya utakao toka hivi karibuni ambao kamshirikisha msanii kutoka nchini Nigeria Maarufu kwajina la Kcee Limpopo na track hiyo nimefanywa chini ya producer kutoka hapa hapa nchini Mr Tudd Thomas nyimbo inaitwa SHIKOROBO ka tayari.
 Picha mojawapo katika video hiyo.
Shetta na Kcee wakiwa Location 
Categories:

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi