Posted by Williammalecela.com on Monday, March 09, 2015
 |
"Siku
ya Wanawake Duniani. Tumeitumia kwa kukubaliana wanawake kumsaidia
mtoto wa kike. Hapo ni Harambee kwa Ajili ya kuchangia mtoto wa
kike(Binti) kuweza kupata Elimu.
Somesha mtoto wa kike, Elimisha
jamii. Kokote pale ulipo, awe ndugu au jirani, jaribu kuona ni jinsi
gani unaweza kumsaidia aweze kufanikisha ndoto zake. Haba na haba hujaza
kibaba. Unacho ona kidogo, sio kidogo na chaweza badili maisha ya mtoto
wa kike. Wanawake tunawezesha kufanikisha, wakati ni sasa."
|
0 comments:
Post a Comment