
Imagine! Team Wema wamefanya nini baada ya kuiiona hii picha?! Najua Some fans are wishing this to happen, but at my end I really doubt about it.
Picha hii ni gumzo kwa sasa mtandaoni, imekua ikisambaa kwa kasi sana na kuna watu wameanza kuamini kuwa ni kweli! Ila ukiitazama kwa makini sehemu za shingoni utaona inaonekana ni 'Edited'!
jitihada za kuwatafuta wahusika lakini imekua ngumu kuwapata kwa sasa ila lwa ufahamu wetu ni kwamba licha ya Zari kuwa na mahusiano na Diamond lakini bado ndoa yake na mumewe aitwaye Ivan haijavunjika rasmi kwa mantiki hiyo ni ngumu kufunga ndoa na Diamond ilihali akiwa ni mke wa mtu bado!
Tupe maoni yako hapo chini tafadahali!
0 comments:
Post a Comment