,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, March 12, 2015

Hatimaye Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wamekutana mara ya kwanza, safari hii kwa ajili ya ‘kazi’.Wawili hao watakutana katika pambano ghali zaidi la ngumi katika historia ya mchezo huo litakalipigwa Mei 2, mwaka huu.
Kila mmoja alionyesha kujiamini kwamba atafanya vizuri katika pambano hilo na wakasisitiza watu wajitokeze kulishuhudia pambano hilo la kihistoria.
Tayari kila mmoja ameishaanza kujiandaa napambano hilo na kufanya mazoezi makali.
 










0 comments:

Post a Comment

ufunguzi