
"Josephine
Mushumbusi mchumba wa Slaa anashangaza, anasema Kagenzi anayetuhumiwa
kutaka kumuua Slaa kwa sumu alikuwa na sumu hiyo kwa wiki nzima
akitafuta namna ya kumuwekea 'boy friend' wake huyo,
kwamba mtu huyo alishafanya jaribio hilo mara mbili. Kama alijua hilo kwanini alikaa kimya?? Sinema inaendelea...."
kwamba mtu huyo alishafanya jaribio hilo mara mbili. Kama alijua hilo kwanini alikaa kimya?? Sinema inaendelea...."
- Pamela Hubert Mtena Na kweli cinema!
- Rama Kichwa Hicho kimchepuko cha padri kimechanganyikiwa.
- Van De Pojo mhhhhh
- Yusuph Marare HUYU NDIYE CHANZO CHA TATIZO.
- Pamela Hubert Mtena ONAONAEEEEEEEEEEEEEE!
- Idrisa Ally Salum Kanyoa nywele na akili zote "kazinyoa"
- Yusuph Marare ETI ANATAKA KUWA FIRST LADY,Majangaaaaaaaaaaaaaaa
- Idrisa Ally Salum First lady wa uhuni?...Mama mtu mzima bado ANAWEKWA KINYUMBA na anakubali!. Utadhani hana wazazi wala ndugu!!!!
- Faraja Msemwa Iddy naona huna point ya maana bora ukae kimya hayo yote unayo ya andika cyo kwa maslahi ya jamii bali nikwa nafsi yako.
- Idrisa Ally Salum Jamii ya "Waliostaaribika" hutokana na wazazi Wastaarabu!...Ikiwa VIONGOZI WA JUU au WAZAZI wanaishi KIHUNI na kuzaa hovyo nje ya ndoa, NI MASLAHI GANI JAMII HIYO ITAPATA KUTOKA KWA WAZAZI WA AINA HIYO?. Mtu mwenye "Maslahi katika jamii" huwa NI MWENYE KUJIHESHIMU NA KUFUATA SHERIA (ikiwemo sheria ya MUNGU ya KUOANA na sio kuzini hovyo).
- Faraja Msemwa hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa!!! machafuko yanchi.
- Nguvumali Said Kombo Idris hilo la kuzaa holela linafurahisha.
tukiweka hadharani kila mwenye watoto holela basi Hayati Komba ananafuu nakwambia - Omari Karachi Hatuwezi kuwa na viongozi wazinifu,halafu tutarajie kutokomeza UKIMWI! Eti mchumba wa Slaa amezaa,hii si aibu jamani? Toka kwenye upadri mpk uzinifu,hatari kubwa sana hii! Halafu wazee sasa,ndio wa namba dhamana watuongoze! Tanzania imeishiwa viongozi?
- Shabani Madega Tutasikia na kuona mengi mwaka huu.
- Mahmoud Abass Romolo Duh kutoka qwenye mkw halali wa ndoa mpk kua girlfriend mtu wenyewe more than 50years Yaaani ni bibi mwenye vijukuu na vitukuu shame on this shameless lady asiyejitambua anachokiongea ktk jamii
- Prosper Kimario Hili ni kahaba tazama lilivyojichubua
- Rahabu Solomon ndo raha ya mchepuko angebaki njia kuu
- Itika Brown Hao ndio wahaya bna hkn kuzeeka hlf huyo mama ana mdomo mchafu kweli
- Mtinika Said Picha lenyewe la kihindi...!
- Rashid Mkwinda Mwaka huu tutaona mitandao inavyotumika kwenye kampeni 2005,2010 haikuwa hivi nahisi kwa sababu FB haikuwa imeeneo kihv sasa tutarajie viongozi watakaochaguliwa na mitandao ya kijamii, wakati ule tuliambiwa tutapata viongozi waliochaguliwa na magazeti
- Iddy Harnaa Mkwama Kaka 2005 na 2010 haukuwepo Facebook?@ Rashid Mkwinda
- Rashid Mkwinda FB ilikuwepo 2005 na ndio mwaka iliyoanzishwa na Mark Zurkerberg lakini haikuwa na watumiaji wengi kama sasa asilimia kubwa ya watumiaji wa sasa wakati ule walikuwa bado wako shule ya msingi kuna ongezeko kubwa la watumiaji by then wakati ule simu nyin...See More
- Iddy Harnaa Mkwama Kaka umejibu ambayo sijakuuliza ila wabongo siye,@ Rashid Mkwinda
- Happy Katabazi Balaa.
- Abdul Khalfani Malaya wa slaa hana jipya
- Ronald Leons Baadae ilikuja julikana ok
- Benjamin Kasenyenda Andongolile Wapuuzi haoo
- Rashid Mkwinda huenda sikuelewa swali nimetafsiri nilichodhani ni makusudio yako ndivyo tulivyo wabongo Iddy Harnaa Mkwama
- Happy Katabazi Jamani kwa mujibu wa sheria ya ndoa slaa na mke na mume na wapo kwenye ndoa inayodhaniwa (pressumption of marriage) mania tayari wameishaishi kama mke na mume chini ya paa moja la nyumba kama mke na mume kwa zaidi ya miaka miwili.namkumbuke mahakaMa ya...See More
- Sixberty Bwire Mungu ni mwema
- Fredy Masolwa Duh! Maneno yako niya kitoto sanaaaa, jenga hoja kwa facts not pointless man
- Bollen Ngetti Maneno yake hayo yamethibitisha kuwa ni kahaba wa kawaida sana. Ni kwa vipi uishi na sumu ya panya mezani kwa wiki mbili. Empty shell.
- John John Nchimbi Nachelea kumuita Delilah wa karne hii..... Huyu ni Delilah kabisa.
- Iddy Harnaa Mkwama Fredy Masolwa huenda unatazama jambo kishabiko, au upeo wako ndo umeishia hapo au ni mvivu wa kufikiri. Fikiri sawa sawa.
Ramadhan Almasi Picha ndio imeanza hivyo jamani tusubirie tuone tu kazi ipo mwaka huu


























0 comments:
Post a Comment