Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ akiwa na Swedi.
Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’, baada ya kukaa muda
mrefu akiwa ‘singo’ tangu aachane na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kupata mrithi wa msanii huyo aliyetajwa kwa
jina moja la Swedi.
Habari
kutoka kwa chanzo cha kuaminika kilichoomba hifadhi ya jina kimedai
kuwa, Penny na Swedi wanaishi pamoja maeneo ya Mwananyamala jijini Dar
na wamekuwa wakioneshana mahaba nilegeze hata mbele za watu huku mara
kadhaa wakitupia picha zao za pamoja kwenye mitandao ya kijamii.
0 comments:
Post a Comment