""Kinachoendelea
Dodoma hivi sasa ambapo watu wanakusanywa huko mtaani,wakilipiwa
nauli,wengine wakibebwa hata hawajui wanachoenda kukifanya kwa mgombea
mmojawapo ati kwenda kumshawishi akagombee.
Na cha ajabu,wakifika huko wanakuta viti,mahema, chakula waandishi wa habari wameandaliwa,huo siyo ushawishi kama chama tulivyosema.Hizo ni kampeni.Mojawapo ya masharti tuliyowapa wagombea ni kutokufanya kampeni.Anayefanya hivyo anaweza kukumbwa na adhabu ya jina lake kuondolewa kwenye kinyang'anyiro hiki cha kugombea Urais 2015 " - Nape Nnauye Katibu wa NEC CCM Itikadi na Uenezi akiongea na Sauti ya America jioni hii"

0 comments:
Post a Comment