Kati ya Mwaka 2012 na 2013 afandeseletz alipatwa na msala mkoani morogoro inasemekana lakn, alikamatwa na kupelekwa mahakamani, watu wa chama cha CUF walisimama kidete hadi kesi ya Mfalme Sele ikaisha, akatangaza nia ya ubunge jamii ikahisi sele ni CUF baadae tukaibiwa siri kuwa
ni Chadema, Hatimaye leo amejitokeza hadharani kwa tiketi ya chama kipya cha upinzani cha Act Unahisi kwann Afande amefanya maamuzi haya?
ni Chadema, Hatimaye leo amejitokeza hadharani kwa tiketi ya chama kipya cha upinzani cha Act Unahisi kwann Afande amefanya maamuzi haya?

0 comments:
Post a Comment