,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, March 13, 2015


Picha mbili za Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Makonda akiwa na baadhi ya machine alizozikamata jana usiku Wilayani humo zilizokuwa zikitumiwa na Wezi wa Maji ya wananchi.


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Makonda akizungumza na Media kuhusu kuamrisha kukamatwa kwa wezi wa maji Wilayani humo operation iliyoanza rasmi jana usiku ikisimamiwa na yeye mwenyewe na RPC wa Polisi wa Mkoa huo Bwana Wambura.
Mkuu huyo mpya wa Wilaya ametoa siku 30 kwa Wauza Maji wote kujiandikisha kwa Wenyeviti wao wa Serikali za Mitaa ili Serikali iweze kuwatambua wauzaji halali na wauzaji haramu. Alisema hatua kali sana zitachukuliwa dhidi ya Wezi 16 waliokamatwa na machine 47 za kuibia maji ya DAWASCO ambayo yanatakiwa kuwa ya Wananchi kutoka kwa Serikali yao ya CCM.Alisema wezi hao husababisha gahrama za uzalishaji kuongezeka na kusababisha bei ya Maji kuongezeka.











0 comments:

Post a Comment

ufunguzi