Afisa masoko mwandamizi Mr Muganyizi ametembelea Mawakala wa AccessBank ambayo kwa sasa yameanza kufanya kazi .
Maeneo walipo Mawakala Mini Supermarket (Kijitonyama shule) jingine Lacasumbai (Makumbusho) na JK Internet Cafe (Mwenge Mpakani) licha ya kufikia hapo alifunguka Mr Muganyizi nakusema zoezi bado linaendelea na Mawakala wengine wataendelea kutangazwa hivi karibuni.
Muganyizi alimalizia kwa kusisitiza wateja kufanya miamala hata baada ya muda wa kazi wa matawi ya benki.



0 comments:
Post a Comment