,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, March 10, 2015

 
Mgonjwa ambaye mpaka sasa, madaktari hawataki kumtaja jina, aliyelazwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) Hospitali ya Taifa Muhumbili (MNH), Dar baada ya kufanyiwa upasuaji na kutolewa rundo la vyuma tumboni.
Rundo la vyuma vilivyotolewa tumboni madaktari.


KWELI ni maajabu! Yule mgonjwa ambaye mpaka sasa, madaktari hawataki kumtaja jina, aliyelazwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) Hospitali ya Taifa Muhumbili (MNH), Dar baada ya kufanyiwa upasuaji na kutolewa rundo la vyuma tumboni, maajabu saba yameibuka, Uwazi linakupa zaidi.SOMA ZAIDI>>>

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi