Kim akitoka kwenye gari akiwa na mumewe Kanye pande za mbelezi Paris katika kuelekea kupata chakula cha usiku akiwa na vazi la aina yake alilo liunda yeyemwenyewe Kim
Nimoja ya muonekano wa kim katika gauni la aina yake ambalo alifunguka na kusema mpenzi wake alivutiwa nalo nakuhitaji awe katika muonekano huo kila wakati wanapo kuwa pamoja .
0 comments:
Post a Comment