,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, March 23, 2015

TAARIFA ZA AWALI: HALI ni tete katika jiji la Dar es Salaam, kutokana na mvua ya masika iliyonyeshwa kwa siku tatu na kusababisha vifo vya watu watano, huku nyumba nyingi zikiwa zimezingirwa na maji.
Maeneo yaliyoathirika zaidi ni Buguruni kwa Mnyamani na eneo la Jangwanikatika Manispaa ya Ilala, ambako nyumba nyingi na barabara zimeathirika.
Sehemu nyingine za jiji zimezingirwa na maji kutokana na kuziba kwa mitaro na mifereji, ikiwa ni athari ya utupaji taka ovyo na pia miundombinu duni.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi