Kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekau
Boko Haram wamewaunga mkono kundi la Islamic State kupitia ujumbe wa sauti uliorushwa mtandaoni siku ya Jumamosi, baada ya mabomu kulipuka na kaskazini mwa Nigeria, na kuua watu 58 na kujeruhi mamia.
“Tunatangaza kuunga mkono Caliph wa Waislamu, Ibrahim ibn Awad ibn Ibrahim al-Husseini al-Quraishi,” alisema kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekau, akimaanisha kiongozi wa IS Abu Bakr al-Baghdadi.
Baadhi ya wanamgambo wa kundi linalodaiwa la Kiislamu la Boko Haram lenye maskani yake kaskazini mwa Nigeria
Hotuba hiyo ya dakika nane, ambayo Shekau hakuonyeshwa, ilitumwa kwenye akaunti ya Twitter inayotumiwa na Boko Haram iliwekwa kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa na Kiarabu.
Kundi la Islamic State lenye maskani yake Syria na Iraq
Awali Shekau alimtaja al-Baghdadi kwenye ujumbe wa video na kuacha kutoa ahadi za kumuunga mkon
0 comments:
Post a Comment