,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, March 15, 2015


Msanii wa RNB Tanzania aliewashawishi wasanii wengi kufanya muziki huo, Nuruel amesema kuwa anatarajia kufanya kazi ambayo atashirikisha wasanii wanne akiwemo Ben Pol, Belle 9, Mr Blue na Josline.

Kumbukumbu za Nyuma zinasema kuwa Mr Blue na Josline ni wasanii ambao hawaelewani na Dully sykes aliwahi kuwakutanisha katika track moja kwa kutumia ujanja maana kila mmoja wao hakujua chochote kilichokuwa kikiendelea.

Kwa upande wa Nuruel amesema "kuwa Mr Blue ni Mtu ambaye naishi nae vizuri na hata siku mmoja hajawahi kunikatalia  kitu na kwa upande wa Josline ni Mdogo wangu kabisa sidhani kama ataweza kunikatalia kufanya track hiyo kisa kikiwa ni Blue kwanza Mambo hayo ilikua zamani lakini kwa sasa wamekua". Alisema Nuruel.

je kwa mtazamo wako hawa wasanii aliowataja bwana Nuruel unafikiri Ngoma hiyo itakua na Uzito Gani.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi