WHAT A SHAME TANZANIA!!! Mtoto mwingine kakatwa mkono wa kulia siku ya jumamosi tarehe 7 March kwenye kijiji cha Kiseta, Wilayani Sumbawanga vijijini na hii imesambaa kwenye mitandao ya kimataifa na ilikua #trendingyahoo jana. Pamoja na juhudi zote zinazoendelea za kuwalinda hawa ndugu zatu bado mtu anafanya unyama huu??? #StopKillingAlbino Tag your friends and comment "Amen" Join The Movement
0 comments:
Post a Comment