![]() |
Jamani watu wangu wa UK show ya #YaMoto
so far ni moja tu ya Jumamosi hii 21 Feb 2015 Royal Regency London.
Hakuna show nyingine iliyo tangazwa kufanyika sehemu nyingine yeyote
japo kuwa tunajaribu kutafuta mji mwingine na venu but it's not
confirmed. So don't miss out kwa maneno ya mtaani. Njooni tufurahi kwa
pamoja na msupport vijana wetu. Hawata kuwa hapa kwa siku nyingi maana
nao ratiba imebana. Tukutane Jumamosi, tusupport vijana wetu. Please
Tell A Friend To Tell A Friend. Tickets bado zipo VIP £35 Standard £25. #JestinaGeorgeBlog #DiasporaBlogger #ZuRiiHouseOfBeauty #BongoDeeJays #YaMotoUKTour naombeni mshare huu ujumbe kwa wengine pia asanteni. |
Wednesday, February 18, 2015
Categories: ratiba za starehe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment