Posted by Williammalecela.com on Monday, February 16, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Chifu mpya wa
Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu
Mkwawa, Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.
0 comments:
Post a Comment