Posted by Williammalecela.com on Thursday, February 19, 2015
KUPENDWA RAHA
 |
Mahaba niteketezeee na haya maji |
 |
Two luv birds |
Hakii
unaweza ukapata bf hata kukuonyesha mahaba anashindwa yaani yupo yupo
tuu usela mavi kwa kwenda mbele wala hana habari hajui hata unavaa size
gani ya viatu nk, khaaa Mungu niepushie na hilo janga, i would rather
stay single for the rest of my life kuliko kuwa na jitu kama hilo
ilimradi tusogeze siku.. safari hii naona Zee kapatikana kwenye mahaba
mazitooo Diamond inaonekana anajua mapenzi...... ndukiiiii
sidhani kama kuna mtu asiyetaka haya mahaba jamani wacha tuongee ukweli uko na baby all the time uwiiii nafwa..
Kuutwa kuchungulia kwa sinta halafu anajidai kumuita wa mimba za majanini. Shwaiinn. Raha yake sinta analipotezea
Sina timu na sifagilii timu yoyote.
Wanao kushauri mazuri bila matusi wazingatie hao ndo wenye akili.
Bora bibie z kazaa na mwanaume mmoja walioanza wakiwa hawana pesa na kuchuma pamoja na kuishia kuwa mke na mume.. na now wameachana ila mnajua sheria au sio
ach kuandika ujinga wa kipupu full wivu
zaa uje uandike tena hivi kama wewe unajua maisha ya kulea. mfyuuuuu
hata wewe ukiona Damonf kimya kwa mwezi esp kama huko nsta si utabaki kuchungulia account yake unayoi follow kila sekunde au unasemaje?
acheni wivu ni maisha yao, mbona marafiki, wewe ndugu zenu mnapost kila siku hamsemi mnaonyeshr iq ndogo?
mboma kina kim, beyonce, kanye wtc wana update daily hamusemi ushamba?
acha wivu wewe na wengine mnoandika pumba, acha watengeneze pesa.
unajua kwamba hoteli waliokaa juzi watu wangapi wanataka kwenda huko kupata raha zao? hao ndio celebs..ukipost wewe nani atataka kwenda? nusu mtu?
waacheni wale maisha both wameteseka katika mahusiano ya kuumiza vichwa
We classy like that #You cant sit with us#
BTW we don't like you either!!
Zari lazima ataendelea kupokea allowance yake na kulea their kids.
hata akisema auze biashara zake alale au hata akiuza share yake ya colleges bado atahudumiwa kama ex-wife.
hiyo hata mahakamani inapita bila kipingamizi.
so mnaoenda kupeeka vi papuchiii kwa ex mume endeleeni tu. sio mkizani mwenzenu anatupwa chaliiiii