MJINI KUNA MAMBO.........
MSANII wa filamu Bongo,
Jacqueline Wolper amedaiwa kumchukua mpenzi wa msanii wa filamu ambaye
pia ni mpigapicha, Farid Jamal ‘Farid Uwezo’ aliyejulikana kwa jina moja
la Vivian.
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
![]() |
Wolper (aliyedaiwa kuchukua mpenzi wa mtu) |
Msanii wa filamu Bongo, Jackline Wolper amedaiwa kumchukua mpenzi wa msanii na mpiga picha wa filamu Farid Uwezo anayejulikana kwa hjina moja tu Vivian.
![]() |
Mpenzi aliechukuliwa (Vivian) |
![]() |
Faridi (aliyeporwa mpenzi na Wolper) |
Faridi alilalamika na kusema ni kweli Vivian alikuwa mpenzi wake ila kwa sasa Wolper kambeba yaani Fardi bwana anaongea as if Wolper ni mume mwenzie khaaaa, i die, ngoja tuendelee na uhondo, Faridi amesema hawezi tena kurudiana na Vivian maana tangu awe na Wolper ameharibika tabia na yeye hatoziweza tena
jamani haya ninayoyasikia yananiumiza kichwa kwani mwanaume kampoteza baby wake kisa demu mwenzie???
I do the seeking and you do the judging....
story na Musa Mateja
Mpenzi wa ‘Farid
Uwezo’,Vivian.
Baada ya kuzinyaka taarifa hizo, mwandishi wetu alimtafuta Farid na
alipopatikana alisema ni kweli Vivi alikuwa mpenzi wake lakini Wolper
kampora.
“Vivian alikuwa ni mpenzi wangu lakini baada ya kuwa na urafiki na
Wolper alibadilika na kunikataa.
“Nilishindwa kujua sababu kutotaka kuwa na mimi kwa kuwa Wolper ni
msichana mwenzake. Inaniuma sana kwani nilikuwa nampenda sana, hata
hivyo siwezi kumrudia kwani atakuwa ameshaharibika kitabia,” alisema
Farid.
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
MSANII wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amedaiwa kumchukua mpenzi wa
msanii wa filamu ambaye pia ni mpigapicha, Farid Jamal ‘Farid Uwezo’
aliyejulikana kwa jina moja la Vivian.
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
MSANII wa filamu Bongo,
Jacqueline Wolper amedaiwa kumchukua mpenzi wa msanii wa filamu ambaye
pia ni mpigapicha, Farid Jamal ‘Farid Uwezo’ aliyejulikana kwa jina moja
la Vivian.
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Msanii wa filamu Bongo,
Jacqueline Wolper.
Chanzo cha habari kililiambia gazeti hili kuwa, tangu Wolper awe karibu
na Vivi, Farid amekuwa akiumia sana kwani amekuwa akikosa muda wa
kujiachia naye.
“Yaani Wolper kampora Farid Vivi wake, sasa hivi jamaa ameamua kumuacha
maana anaona mambo hayaendi sawa.
“Watu wanajiuliza, Wolper anampa nini Vivi? Ni ushosti wa kawaida tu au
kuna kingine. Maana mtu huwezi kumuacha mpenzi wako kisa msichana
mwenzako,” kilidai chanzo hicho kilichoomba hifadhi ya jina lake.
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Msanii wa filamu Bongo,
Jacqueline Wolper.
Chanzo cha habari kililiambia gazeti hili kuwa, tangu Wolper awe karibu
na Vivi, Farid amekuwa akiumia sana kwani amekuwa akikosa muda wa
kujiachia naye.
“Yaani Wolper kampora Farid Vivi wake, sasa hivi jamaa ameamua kumuacha
maana anaona mambo hayaendi sawa.
“Watu wanajiuliza, Wolper anampa nini Vivi? Ni ushosti wa kawaida tu au
kuna kingine. Maana mtu huwezi kumuacha mpenzi wako kisa msichana
mwenzako,” kilidai chanzo hicho kilichoomba hifadhi ya jina lake.
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Mapovu yanakutoka sababu ya Zari na Diamond au? ulitaka uwe wewe na Diamond ama? Hembu waachie watu maisha yao umejaa chuki kama mkaanga sumu
si anamaanisha Wolper msagaji... au kuna style mpya ya wanawake kuduana?
Kaka angeunga ya watatu watatu ajionjeeeeee
Serikali ya China imekubali ombi la Prof. Muhongo la kupewa scholarship 20 kila mwaka kwa miaka 5 kwa vijana wa Tanzania kwenda kuchukua Masters na PhD za Oil & Gas nchini China. Maombi yanatakiwa ubalozini kabla ya tarehe 10 April kupitia Wizara ya Nishati na Madini.