
Maneno ya kajala akifunguka kupitia makubwahayablog Naomba niwaulize binadamu alie kwambia mm nikivaa ivi ntamualibu mtoto nani acheni akili za kijinga kwasababu wengi wetu tunajua kabisa mtoto awi na tabia mbaya kwasababu anamuona mama yake kavaa dira au tumbo wazi sisi zamani wazazi wetu walikuwa wanavaa ivi lkn
mbona tuliwasumbua mnaboa na kukera pia kama mtoto wangu atahalibika kisa kaniona mm nimevaa tumbo wazi utakuwa ni umbumbu wake na ujinga wake lkn sidhani kama mavazi yanamualibu mtoto naisi nimalezi peke yake kama nakuboa usipite hapa tafadhali wadau mnasemaje kuhusiana na ujumbe huo
0 comments:
Post a Comment