“Kileeeeeeee kinaanza kumuharibia mtu Mavazi..”
Mwanamuziki maarufu nchini na sehemu nyingi za dunia –
Diamond Platnumz ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada
Wema Sepetu ameendelea kuuhakikishia ulimwengu kuwa, mpenzi wake wa sasa ZARI al-maarufu kama “The boss lady”, ni mama mtarajiwa aliyebeba ujauzito wa msanii huyo nguli nchini na kwamba hii sio project nyingine.
0 comments:
Post a Comment