,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, February 20, 2015

Clouds Big Bosses Joe Kusaga and Ruge Mutahaba
Clouds fm wamekana kuwa shutuma zinazotolewa kwenye social media hasa jamiiforums kwamba wao CCM sio za kweli.

Akihojiwa CEO wa clouds katika kipindi power breakfast, amesema wao kama radio hawana chama kwa sababu hata sheria TCRA haziruhusu.

Pia kwenye uchaguzi wa mwaka huu wagombea wote watapewa nafasi sawa. Ameendelea kusema kuwa wafanyakazi wachache kuwa CCM haimaanishi clouds yote ni CCM.  Pia clouds imekanusha habari zilizozagaa kuwa radio imenunuliwa na Rostam Aziz, ameongeza kuwa hizo ni propaganda za kuichafua radio hiyo.
Amesema kama wakiuza radio watatangaza kwasababu radio ni yao,na hawamuogopi mtu.

Click image for larger version. 

Name: millardayo.png 
Views: 0 
Size: 57.1 KB 
ID: 228087

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi